Posts

Kabwela

Image
Karibu kabwela Tanzania  Kabwela Tanzania ni taasisi ya kiraia yenye makazi yake jijini Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni. Shughuli zetu kuu ni pamoja na uuzaji wa viwanja vya makazi na mashamba pia tunajihusisha na umaliziaji wa ujenzi yaani (finishing) kama vile kuweka aluminum kwenye nyumba, mapazia na kudizaini sitting rooms and maeneo kadha ya nyumba. Kwa wale wanaohitaji kuwafanyiwa landscaping kwenye nyumba zao pia nao hatujawasahu. Timu ya wataalamu wetu wako tayari kukubunia na kukutengenezea bustani nzuri za maua katika nyumba yako. Tuko tayari na tunasubiri kupokea simu yako. Kwa mawasiliano Piga namba yetu: 0677705808